Maelezo

Maabara hii inaruhusu wanafunzi kuchunguza maana ya kauli ya hisabati kuwa na usawa au isiyo na usawa kwa kuingiliana na vitu kwa usawa. Wanafunzi wana uwezo wa kugundua sheria za kuiweka sawa na kukusanya nyota kwa kucheza mchezo!

No votes have been submitted yet.

View and write the comments

No one has commented it yet.